hawa watu si watajwe tuwasalimie na pesa zetu kwanini mnawaogopaau ni fununuKuna kiongozi wa serikali kanunua nyumba ya billion 27 dubai
Unadhani hamjui? Anamjua ila hana cha kumfanyaKuna kiongozi wa serikali kanunua nyumba ya billion 27 dubai
Anawasema wachungaji na kuwaAcha mawaziri wake wanaofanya birthday party za ma milioni ya shilingi!! Hizo Pesa wakina Mchemgerwa wanazipata wapi na kama sio kuiba fedha zetu huko Tamisemi?Kuna kiongozi wa serikali kanunua nyumba ya billion 27 dubai
Mtaje mkuu mimi mwanasheria ntakusimamiaKuna kiongozi wa serikali kanunua nyumba ya billion 27 dubai
Ni kweli asemacho, lakini yeye pamoja na makada wenzake wa ccm ndio wanaoongoza kwa kujilimbikizia mali za wizi kupitia fedha za umma. In short hana usafi wa kunyooshea yoyote kidole.View attachment 3089684
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango
Makamu wa Raisi Dkt. Philip Mipango akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha amegusia suala la Wahubiri wa dini kujilimbikizia mali. Akieleza kuhusu jambo hilo Dkt. Mpango amesema:
“Hivi sasa yameibuka mafundisho ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao kutegemea miujiza Zaidi ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa. Viongozi hao wanawaelekeza waamini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada ili wakaombewe wapate mali ikiwemo magari, nyumba, pesa wanazo zitamani, lakini pia wanaomba kutatuliwa shida zao tunashuhudia kuongezeka kwa wahubiri wanaojilimbikizia fedha na mali binafsi kutokana na sadaka na mauzo ya vitu mbalimbali vya hao watu wanyonge. Wengi wa wahanga wa mahubiri ya aina hiyo ni wananchi wanyonge wanaokabiliwa na shida au matatizo mbalimbali ya maisha yakiwemo magonjwa, umasikini migogoro katika ndoa, ugumba kukosa ajira na kadhalika”
Hayo ni matatizoo yaliyoletwa na CCM na ndio yamefanya hao watumishi wapate mianya yakuwaburuza hao unaosema wanyongeee..wananchi wanyonge wanaokabiliwa na shida au matatizo mbalimbali ya maisha yakiwemo magonjwa, umasikini
Nani? Weka ushahidi hapa!!!Kuna kiongozi wa serikali kanunua nyumba ya billion 27 dubai