madawa makulu
Member
- May 2, 2015
- 48
- 9
Alijua kuwa kama atakuwa mzima, ataweza kutoa ukweli wa uchunguzi wa Richmond.Lowassa alitaka kumuua huyu bwana kwa sumu ya pollonium. Mungu mkubwa huyu Mwakyembe kapona na yeye sasa anaumwa maradhi ya Paekinson. Adhabu ni hapa hapa duniani. Eti anataka urais wa Tanzania! Atausubiri milele
Hivi hatuwezi kukiita hicho kitendo blackmailing?Uyu jamaa alikataa kusema ukweli mpaka leo!
Nini maana yake?Hivi hatuwezi kukiita hicho kitendo blackmailing?
Aache longolongo mbona ripoti ya madaktari haiweki hewani na sisi tuione . Huyu jamaa naona anatuyeyusha tuu ili apate huruma ya wananchi hajawekewa sumu huyu liongo tuu
Najua unajua