Dkt. Mwakyembe Makavu live sessions

Dkt. Mwakyembe Makavu live sessions

mtoa mada mbona hujaeleweka point yako ni ipi (kafa au ?)
 
Wabongo tukishaona tutakukumbuka daima tunawaza kifo tu..

Mtoa mada ungeiweka hyo sentensi isiwe tata.
 
Hakika kiboko ya Low*sa. Atakumbukwa kwa ile hivi ilikuwa dowans au hela za kwenye viroba?
 
Kiburi cha madaraka ni kansa ya Taifa.

Wachawi wanaowarogezea wapate vyeo wamefikia level gani ya elimu?
Uchawi ni Elimu pia na ndiyo maana na wao Wana vyeo kulingana na level ya mafunzo ya kichawi.
 
Back
Top Bottom