Dkt. Mwele Malecela awataka wataalam kufanya kazi bila woga

wengi wanaongea kiushabiki kuomyesha chuki kwa JPM huyu mama alitumika na mabeberu ndio maana alipotemwa tu kesho yake akanyanyuliwa hana kichwa chochote
Na wazalendo si wanasema Coroda imeombewa, haipo!
Ushajifukiza?
 
Na uzuri alipata kazi uswisi kabla mjp hajafariko ivyo akajionea
 
Huyu mama kusema ukweli alizingua mno, kwa nafasi yake kama mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti hakutakiwa kutoa taarifa sensitive Kama hizo za uwepo wa ugonjwa wa Zika bila kushauliana na wizara husika, na mwenye mandate ya kulitangazia Taifa kuhusu uwepo wa ugonjwa ni waziri husika.

Sema ndo hivyo wanasiasa walimbeba na kumfanya asionekane na hatia kwa faida zao kisiasa.
 
wengi wanaongea kiushabiki kuomyesha chuki kwa JPM huyu mama alitumika na mabeberu ndio maana alipotemwa tu kesho yake akanyanyuliwa hana kichwa chochote
Mabeberu ni akina nani ?
 
Lkn si upo
 
Magu alikuwa ana Roho mbaya sana na chuki,,

Hatma yake imefupisha uhai wake
Magu alikuwa ana Roho mbaya sana na chuki kuliko SHETANI, halafu akawa anatamani kujipigia debe apate kuwa Mkuu wa Malaika.
Sasa hiyo wapi na wapi?
 
Kwani hiyo zika bado anaiona nchini? Au ilikuwa nyumbani kwao tu!
 
Hana ujembe wowote kabebwabebwa sana huyu hana jipya,anatafuta attention tu

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mabeberu wanataka kumtumia waje kuotesha ugonjwa mwingine tena kama walivyotaka kuleta zika na ebola...wakadunda kwa jemedari.
Afadhali umetukumbusha sarakasi la ugomjwa Wa zika! Ilikuwa tuliwe kichwa!! Tumshuru hayati kwa kusimama imara!! Kibaraka wao akagonga mwamba, wakamliwaza kwa kumpà post ya kimatàifa!!
 
Mwele akilala usiku anatokewa na malaika mkuu kutoka Chato.

Ama kweli malaika mkuu alimchukia huyu dada. Eti Mwele kahongwa na mabeberu...dah! Malaika mkuu alikuwa ni kiboko kwa uongo na uzushi.
Naona ulikuwa sahihi, maana malaika mkuu keshamuita kwenye gwaride la parapandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…