cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.
Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.
Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.
Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.
Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.
Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.
Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.