Ndio huyo huyo sekta ya utalii ingekufa moja kwa moja Kuna tuhuma alihongwa kuua utalii serikali ya Magufuli ikose pesa za kigeni kwa hasira zake za kukosa kuteuliwa ugombea uraisi 2015 Magufuli akaliona akampiga chini hakukuwa na ugonjwa wa zika Wala Nini alitaka tu ku dis tablelize Nchi Magufuli aonekane bogus kea watalii kususa sababu ya ugonjwa wa Zika hewaUyu sindie alitumika kuleta taharuki kwamba Tanzania tuna ugonjwa wa Zika?
Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
Mwache aendelee na kazi yake ya kitaalam. Si lazima kila mtu prominent awe Rais.Tanzania bado haiko tayari kwa rais mwanamke, hata wewe hautampigia kura!
Ila ndio ukweli, tunaweza jifanya wanafiki kuwa kuna usawa ila ukweli ninkuwa haiwezekani sababu ni mwanamke na mfumo wote utamkataa! Tusiwe wanafiki na wajua kuwa niko sahihi.Sema wewe mwenyew,halafu acha mfumo dume hautakusaidia chochote,wanawake wanaweza,unamjua waziri mkuu wa New Zealand anavyochapa kazi,wewe kariri huko na utamaduni wa kabila lako
Wanapukutika akina Nani? Mbona wewe hufi au wanaokufa wapo kwenye runinga unawatazama na huu ugonjwa haukuhusu?Kwani ulikuwa haupo,mbona watu wanapukutika na huku mnasema Tanzania hatuna wagonjwa wa corona
Hatutaki mwanamke awe Rais wa JMT! Full stop!!!Sema wewe mwenyew,halafu acha mfumo dume hautakusaidia chochote,wanawake wanaweza,unamjua waziri mkuu wa New Zealand anavyochapa kazi,wewe kariri huko na utamaduni wa kabila lako
Unataka agombee kupitia chama gani? Nauliza kwasababu CCM tayari tunaye JPM?2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.
Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.
Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.
Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.
Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.
Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.
Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.
2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.
Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na mataifa ya nje na taasisi za kimataifa kitu ambacho si kizuri katika uchumi wa nchi.
Kwa kipindi cha miaka 5 Taifa limepoteza mwelekeo, hatuna sera, tunachukua hili likishindikana mabeberu wananyonshewa vidole kumbe kama nchi imekosa plan.
Tanzania bora,yenye uchumi imara inakuja kama huyu Mama atakuwa Rais wa Tanzania.
Dr Mwele karibu Tanzania, wewe ndo mama usiye ogopa chochote, mwanamke imara,unafaa kuwa Rais wa Tanzania kwa sasa, tunakuhitaji Oktoba.
Wanawake tutakusapoti na una kura nyingi za vijana na akina mama.
Oktoba 2020 twende na Dr Mwele Malecela.
Nitashangaa kama kanda ya kati watampinga huyu mama na huku Kanda ya ziwa ni mbele kwa mbele.
Mwenyekiti wa CHADEMA atampigia kampeni huyu na hivyo amepita bila kupingwa! CHADEMA bwana!2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu.