Uchaguzi 2020 Dkt. Mwele Ntuli Malecela anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2020

Tanzania bado haiko tayari kwa rais mwanamke, hata wewe hautampigia kura!

Sisi hatuangalii jinsia, tunajali kiongozi mwenye akili timamu tu. Kama wewe unaongozwa na mfumo dume hiyo ni kimpango wako.
 
Sisi hatuangalii jinsia, tunajali kiongozi mwenye akili timamu tu. Kama wewe unaongozwa na mfumo dume hiyo ni kimpango wako.
Na wewe pia unaongozwa na mfumo dume ni kwamba umeamua kuwa mnafiki hadharani...
 
Huyu mama kuwa juu baada ya kutumbuliwa kuna wanateseka Sana hawaishi kumtajataja.Walitegemea angekuwa ombaomba
 
Kumbe na wewe Mgogo. Baba yake Dr. Mweli mzee Malechela alionjeshwa Uwaziri Mkuu tu akataka kuiweka nchi rehani kwenye IOC. Huyo Dr. Mwele kapewa NIMRI Mabeberu wakamwambia atangaze Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, Magufuli akatambaa naye kwenye chaki na waliomtuma wakamteua huko mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…