Dkt. Mwigulu afanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
aziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Viongozi hao wamejadili namna ya kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Vietnam na kupanua ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa manufaa ya wananchi wa nchi zote mbili.

​
 
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π— 

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Viongozi hao wamejadili namna ya kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Vietnam na kupanua ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa manufaa ya wananchi wa nchi zote mbili.
 

Attachments

  • IMG-20261006-WA0070.jpg
    170.1 KB · Views: 5
  • IMG-20261006-WA0068.jpg
    172.3 KB · Views: 9
  • IMG-20261006-WA0062.jpg
    158.8 KB · Views: 5
  • IMG-20261006-WA0074.jpg
    272.9 KB · Views: 10
  • IMG-20261006-WA0066.jpg
    255.7 KB · Views: 10
  • IMG-20261006-WA0073.jpg
    233.2 KB · Views: 8
  • IMG-20261006-WA0065.jpg
    209.5 KB · Views: 8
Amuulize imekuaje wao wakawa na uchumi mkubwa mara nne zaidi ya wa kwetu wakati 1960s tulikuwa tunalingana kiuchumi
 
Samahani mtoa mada! Wewe ni mwandishi rasmi wa Mwigulu? Nakuona unajitahidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…