Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433


WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo (Jumamosi, Oktoba 31, 2026) ameongoza Kikao cha Kamati ya Katiba, Sheria na Bunge ya Baraza la Mawaziri.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Spika, bungeni jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, mawaziri na naibu mawaziri wa wizara mbalimbali.

 

Attachments

  • IMG-20261031-WA0093.jpg
    185.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…