Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Welcome back home Dr Mwigulu Nchemba the PM of Tanzania,WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amerejea nchini Tanzania akitokea jijini Brazzaville, Jamhuri ya Kongo alikomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).
Dkt. Mwigulu aliagwa na Meya wa Jiji la Brazzaville, Dieudonné Bantsimba katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maya Maya, Brazzaville Mei 27, 2026.View attachment 3596182View attachment 3596183View attachment 3596184View attachment 3596185View attachment 3596186View attachment 3596187View attachment 3596188View attachment 3596189
Hahahaaa. Dah hadi huyu wa mawewelcome back home Dr Mwigulu Nchemba the PM of Tanzania,
we love you baba,
unafanya kazi nzuri sana Mzee 🐒
jieleze kwa kina kifupi kidogo gentleman kwa faida ya wadau wote wa JFHahahaaa. Dah hadi huyu wa mawe