nimemuona makamu wa raisi, sasa kaka makamu wa raisi yupo kwa nini atajwe waziri mkuu na siyo makamu wa raisi? nijuavyo namba 2 in chain of command tanzagiza ni makamu wa raisi na siyo waziri mkuu, hivyo unawezaje kutambua uwepo wa waziri mkuu na siyo wa makamu wa raisi`?
i am confused ...