GE2025 Dkt. Mwigulu atimba na bodaboda kuchukua fomu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KIJICHO PEVU

Member
Joined
May 4, 2024
Posts
69
Reaction score
49
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

#KaziNaUtuTunasongaMbele.

 

Attachments

  • FB_IMG_1756271689090.jpg
    128.4 KB · Views: 35
  • FB_IMG_1756271691753.jpg
    122.9 KB · Views: 42
Tatizo siyo mwiguuuuu tatizo ni WA tz, hawana akili!!!
 
Uhuni tu,
 
Mimi mnipe tu namba ya huyo mdada aliyemkabidhi hiyo fomu. Huko ndiko furaha yangu iliko. Sihitaji kitu kitu kingine.
 
Baada ya hapo anapanda V EITE
 
Ndo usafiri wake huo na dala dala na mwendokasi kila siku. Kazi kwenu wananchi muoneeni huruma anapanda sana bodaboda na mwendokasi anateka mno.
 
Baada ya hapo for the next 5 years ni vx or ndege, bodaboda hatakaa aguse

Ni lini mtajifunza watanganyika? 🤣
 
ANGEKUWA HANA HELA SIJUI ANGEFANANAJE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…