GE2025 Dkt. Mwigulu atimba na bodaboda kuchukua fomu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Singida wamekosa wagombea hadi nafasi nyingine wamezigawa kwa wahindi.
Kigwangala ulikua wapi?
 
Hii Nchi Bhana Halafu Wamembeba Kabisa ,Endeleeni Kutafuna Keki Yenu.
 
Ameshafanya nini hapo Iramba kwa kipindi chote alichokuwa Mbunge? Na sasa atafanya nini?
 
Mimi sina haja ya igizo hili, nafuatilia huwa wenye miwani nyeusi na huyo Bodaboda....maisha Yao HALISI
 
Waliotangulia kuijua hii nchi na mafhaifu yake wanaifaidi sana. Hongera zao 🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…