Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine - Katavi kuwa cha mfano Tanzania

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA

Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa jengo la Taaluma Kampasi ya Mizengo Pinda iliyopo Kibaoni Halmashauri ya Mpimbwe Wilayani Mlele Mkoani Katavi.

Hadi sasa jengo hilo limefikia zaidi ya asilimia 90, huku kazi mbalimbali za umaliziaji zikiendelea.

Katika sehemu ya Hotuba yake Waziri Mkuu aliwakumbusha wana Chuo wa chuo hicho kwamba Wazingatie Elimu zaidi kwakua Elimu ndiyo Urithi wa Mtoto wa Tanzania

Tazama kipande hiki cha Video

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…