Dkt. Mwigulu: Fanyeni mapitio ya tamko la mali na madeni, ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI

▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa imekithiri lakini watumishi wake hawajajumuishwa kwenye mfumo kama viongozi wa umma.
 
Dr. MWIGULU NI Sokoine wa pili huyo Tanzania.

well done waziri mkuu.
 
DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI

▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko la mali na madeni na yawe na madaraja kwa sababu kuna maeneo ambayo bado rushwa imekithiri lakini watumishi wake hawajajumuishwa kwenye mfumo kama viongozi wa umma.
 
Naomba cheo cha u Dr kieshimiwe tz , hiki sio cheo kijinga jinga kwamba kila mtu anaweza kipata.

Mzee Nyerere , amakufa na cheo cha Mwalimu, Mwinyi wala hakua na cheo ichi , Mkapa pia , kizunguzungu kikaanza kwa Jpm , 100 , msukuma n.k acheni tabia hii , mnashusha elimu yetu bila sababu
 
Bora ungesema ya JK na Samia, hizo za JPM na Mwigulu ni za kusomea, Nyerere yuko na PhD za heshima nyingi tu lakini hakujiita Dr vivyo hivyo kwa Mkapa, JK ndo aloanza kujiita Dr kwa miPhD yake ya kupewa.
 
Nakushukuru kwa kuniweka sawa , all ni all lengo ilikua moja tu , Dr itumike kwa adabu
 
Bora ungesema ya JK na Samia, hizo za JPM na Mwigulu ni za kusomea, Nyerere yuko na PhD za heshima nyingi tu lakini hakujiita Dr vivyo hivyo kwa Mkapa, JK ndo aloanza kujiita Dr kwa miPhD yake ya kupewa.
Namumba Mwigulu nimpe mtiani akipata alama 40 ,nambariki kwa huo Dr uchwara,

Note
Nitatunga mtiani mwenyewe lingana na fani yake , nitasimamia mwenyewe , sitaki visingizio hapa
 
wana wamelala na ela
Mpk kufka mwezi wa 6 atakuwa ana hema kama mtu aliyeunhanisha 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…