Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Je, ni nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo?
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.
Muda utasema