Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda u
Kawalipa watu wamweleze issue ambazo ziko nje ya wizara take naye kajibu kama Rais kuwa anaenda kuzitatua kwa kushirikiana na mawaziri husika.Mwigulu anajiona ni Rais kabisa, ni hatari sana. Waziri ambaye majukumu yake ni ya ofisini tu anatengeneza sinema ili aonekane anakubalika, hatari sana.
Ana kundi ndani ya chama ni hatari sana,subiri watakaposhitukaMwigulu anajaribu kumtisha mama kwa umati wa majitu barabarani
Endeleeni kuchonga hii kinyago
Sasa mwigulu ni raisi?Magufuli alipokuwa anazunguka Kila Kona mkamwita mnyampala!hamna jema nyie hata mwisho wa dahari
MBOWE anaitwa gaidi, LAKINI Mwigulu Nchemba ni muhaini mtarajiwaBila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Ushahidi upande wa MwiguluMBOWE anaitwa gaidi, LAKINI Mwigulu Nchemba ni muhaini mtarajiwa
Ushahidi upande wa MBOWEUshahidi upande wa Mwigulu