Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

kwa hiyo mama anapangiwa vitu vyote na wabara lakini linapokuja swala la kukamata na kuwabambikia watu kesi hamuwalaumu wabara Ila mnamlaumu mama kuwa ni dikteta.😀😀😀😀😀😀
Rais wa kukamata wapinzani tu. But vitu vingine vyote wanafanya wabara.
 
Mwigulu anajiona ni Rais kabisa, ni hatari sana. Waziri ambaye majukumu yake ni ya ofisini tu anatengeneza sinema ili aonekane anakubalika, hatari sana.
Mwigulu na Ndungai, Mama asiposhituka mapema huko mbeleni itakuja mgarimu sana!!toka lini waziri wa fedha naye anakuwa na msafara kama huo, eti amesimamishwa na wananchi!!CCM , CCM!!!!
 
Bado anauota Uraisi. Wakumdhibiti katangulia
 
Hapa ndipo huwa nashindwa kufahamu - labda tunaishi kwenye ulimwengu tofauti! Vipi mkusanyiko mkubwa hivyo au hakuna Covid-19 huko?
 
Huyu ndiye amemkamata bibi kichwa kwa sasa.
 

Kukamata wapinzani ni jambo rahisi sana, ila linapokuja suala la maslahi, na maamuzi, mama ni mwepesi tu. Wabara ndio wanaamua kila kitu.
 
Mwigulu anajiona ni Rais kabisa, ni hatari sana. Waziri ambaye majukumu yake ni ya ofisini tu anatengeneza sinema ili aonekane anakubalika, hatari sana.
Analindwa na baadhi ya Waandamizi na Wastaafu ndani ya CCM na System pia ambao pia Mama nae anawaamini ila ndiyo hao hao watammaliza akifanya Mzaha nao kama walivyommaliza aliyejiamini na Kujisahau.
 
Gaidi huyu mtu hatari sana.
Mstaafu Mmoja alimtumia sana katika Kuwatesa Kimafia Maadui zake na anasifika kwa kuwa Mtu Katili na mwenye kutoa Adhabu za Kimateso kwa Watesi wa Chama na Serikali Kipindi hicho.
 
***** zao, wanatupiga kwenye tozo za miamala wakati wao wanazidisha matumizi ya kifisadi. Waziri wa fedha anasimama barabarani kuongea na wananchi kuhusu nini? Ni kipi anachokitafuta? Mama Samia angalia sana mtu huyu ambaye mama yake na dada zake wamekeketwa
 
Mwigulu na Ndungai, Mama asiposhituka mapema huko mbeleni itakuja mgarimu sana!!toka lini waziri wa fedha naye anakuwa na msafara kama huo, eti amesimamishwa na wananchi!!CCM , CCM!!!!
Anajua Mama anataka Kumtumbua hivyo anachokifanya sasa ni Kujitengenezea hayo Matukio ili Kumuhadaa Mama na aone anakubalika kisha asitishe hiyo nia yake.
 
Hivi presidential order of succession nchi hii ikoje, na waziri wa Fedha ni mtu wa ngapi? nalo lipo kwenye rasimu ya Warioba?in this age of biological warfare,unaweza shangaa tunakabidhi nchi kwa Kasheku Geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…