Mwigulu ni mafya sana na hana huruma.huko Tunduma waziri wa fedha wapi na wapi,David Silinde achunguzwe ameshaingia kwenye kundi la kimafya na MadeluHivi presidential order of succession nchi hii ikoje, na waziri wa Fedha ni mtu wa ngapi? nalo lipo kwenye rasimu ya Warioba?in this age of biological warfare,unaweza shangaa tunakabidhi nchi kwa Kasheku Geita
Hii ya akifa Makamu ndo anachukua aisee nayo haifai maana kama Makamu dhaifu au kimeo ni hatari,bora ashike kwa miezi sita kisha turejee kwenye uchaguzi,Ili tupate chaguo la wananchiHatujawahi kuexperience Rais kufa akiwa madarakani.
Mungu awe pamoja nasi. Amen!
Labda ndiye kipenzi chake na mama tayari ameshajichokea kuongoza na hana mpango wa kugombea 2025 hivyo kampa baraka zake huyo mpita zake afanye hizo sinema.Nimeshituka sana kwa kweli Mama aae makin sana na huyu jamaa nachoona anajipanga kumtoa mama ikulu
Na ubaya kaweka sehemu nyeti ya kukusanyia hela ya kampeni
Jamaa anajipigia kampeni kiaina.Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Kwa tabia za yule mwenda zake asingekubali mkono wake wa kushoto kuwe na mtu asiye dhaifu.Hii ya akifa Makamu ndo anachukua aisee nayo haifai maana kama Makamu dhaifu au kimeo ni hatari,bora ashike kwa miezi sita kisha turejee kwenye uchaguzi,Ili tupate chaguo la wananchi
Hawezi fanya Kazi na watu smartKwa tabia za yule mwenda zake asingekubali mkono wake wa kushoto kuwe na mtu asiye dhaifu.
Kwa mara ya kwanza naona waziri wa fedha akifanya siasa badala taaluma . Waziri wa fedha si wa kurandarandaBila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Magu alikuwa waziri Wa Barabara.Magufuli alipokuwa anazunguka Kila Kona mkamwita mnyampala!hamna jema nyie hata mwisho wa dahari
Hivi mama yupo kweli?,au atakuwa kaenda kucheck afya.***** zao, wanatupiga kwenye tozo za miamala wakati wao wanazidisha matumizi ya kifisadi. Waziri wa fedha anasimama barabarani kuongea na wananchi kuhusu nini? Ni kipi anachokitafuta? Mama Samia angalia sana mtu huyu ambaye mama yake na dada zake wamekeketwa
Mama asipohamka mapema kudili na hawa watu,watamghalimu, mtu Kama Mwigulu nafasi inayomfaa Ni kuwa mkuu wa mkoa tu basiBila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma.
Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais,
Haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo.
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.Muda utasema
Mkristo halafu mwongo sana,akiwa anauza jina kwa viongozi wa dini aliahidi bati huko Iringa,Juzi vyombo vya habari vimemnukuu Kikwete katoa bati badala ya Mwigulu.MnafikiMwigulu ni mkristo. Anajua Rais ajae ni mkristo. Hivyo anaanza kujifanyia mapema kwa wajumbe. Ila awe makini. Amuulize Lowassa.
Exactly,na ukichukulia Yule kaongoza kwa awamu moja tu, na huyu inabidi awamu mbiliMwigulu ni mkristo. Anajua Rais ajae ni mkristo. Hivyo anaanza kujifanyia mapema kwa wajumbe. Ila awe makini. Amuulize Lowassa.
Chizi wewe, eti Hana mpango wakugombea 2025 , bilashaka we ndio huyo muuaji NchembaLabda ndiye kipenzi chake na mama tayari ameshajichokea kuongoza na hana mpango wa kugombea 2025 hivyo kampa baraka zake huyo mpita zake afanye hizo sinema.
Kuna tatizo mahali, hata makamu ana act kama rais kamiliMwigulu anajiona ni Rais kabisa, ni hatari sana. Waziri ambaye majukumu yake ni ya ofisini tu anatengeneza sinema ili aonekane anakubalika, hatari sana.
Hili nalo linalaza macho tu litapigwa mchana kweupe! Fukuzeni huyo Mwigulu haraka!Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais.
Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa watumiaji wengine?
Je ni nani yupo nyuma yake aliye ratibu msafara mkubwa hivyo?
Mh Rais Mwigulu si mwema kwako.
Muda utasema