Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

[emoji817]
 
[emoji106]
 
Mwigullu Rais, Ritz1 waziri mkuu come 2025,etc ...
 
Tatizo nchi yetu hatuna mfumo bora kwa kupata Rais wetu - hili ndilo linatughalimu sana sana, sasa ukiongezea na katiba tuliyonayo basi unakuta ni shughuli kweli kweli.

Kwa mfano, Watanzania wengi hawajui kwamba watu wasiozidi 6 tu ndiyo hutuchagulia Rais wetu.
 
Huyu ndiye amemkamata bibi kichwa kwa sasa.
Anaaami kwamba watanzania ni "mazombie" hawajichagulii viongozi (voting is a gimic) hivyo hana habari na hisia zao (mazombie) anafanya waliyoyafanya viongozi wa sasa (bunge) na mtangulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…