Nchi inaingia rasmi kwenye sanaaDah!
Mwigulu bwana, sasa kati ya hao nani anajua maswala ya kodi au uchumi?????? Kama hawajui watatoaje elimu gani, mpria, utangazaji, comedy au ulimbwende????Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo;
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Hawa wamesomea elimu ya kodi au waziri analeta mzaha katika kazi.Bure ?
Au ndio Matumizi ya Hizo Kodi zetu tutakazotoa?...