Dkt. Mwigulu Nchemba, sera hizi zitakuangusha kisiasa - teta na Rais au jiuzulu

Jikite kwenye hoja acha kulialia
Ww ndio unalialia kuhusu huyo Mwigulu, ndio maana nimekuta umwagize huyo Mwigulu auze yale madini mnayosema tunayo mengi, ili asitufanyie double taxation kwenye simu, na kuanzisha tena hizo Bureau de change.
 
Inavyoonekana hizo rasilimali walishagawa kwa mabeberu na wachina, kwa sasa wanajipanga kugawa ardhi na bandari ambayo ni lango la nchi, ngozi nyeusi wana akili ya kizezeta sana...

Sasa dhalimu anaposifiwa kuwa amelinda raslimali zetu, ni zipi hizo?
 
Mpologomi na the late Mbilinyi
 
Ni aghalabu kuwaona wana ccm wakipingana hadharani. Itafikia tu wakati tutaongea lugha moja.
 
Acha porojo wewe,lipa kodi.Ukisikiliza kelele za mitandaoni unaweza dhani ni watanzania wote wanaongea
 
wapiga dili hampendi kulipa kodi. Mmezidi malalamiko.
Watapiga kelele mwezi huu afu watatulia tuliii.Waziri kazia hapo hapo tena bado kuna kodi kibao hujaanzosha.

Hawa watu ukiwaambia wadai risiti na kutoa risiti hawafanyi sasa Mwigulu anzisha kodi mpya itakayofidia hilo hap
 
Inavyoonekana hizo rasilimali walishagawa kwa mabeberu na wachina, kwa sasa wanajipanga kugawa ardhi na bandari ambayo ni lango la nchi, ngozi nyeusi wana akili ya kizezeta sana...
Una miliki hata mashine ya kusaga karanga kweli wewe?
 
Hujui kitu ndio maana unakimbilia kutoa povu badala ya hoja
 
Hujui kitu kamanda,hii hoja imekuzidi kimo
Muacheni waziri afanye kazi kwa mujibu wa sheria.

Mambo ya kuvamia biashara za watu zilizoko kihalali na kupora fedha ni unyang'anyi!.

Serikali yenye heshima haiwezi kufanya mambo yale ya kijambazi!
 
JPM hakuruhusu misamaha ya kodi ila sasa Mh! nadhani umenena vyema
 
Kwani nchi haina mifumo thabiti, ya utawala??
Mbona Tukidai katiba mpya mnapinga?
 
Sijaona ubaya wa kuruhusu bureau de change, tatizo lenu mwendazake aliwalisha sumu sana kwamba burea de change ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…