Dkt. Mwigulu Nchemba, sera hizi zitakuangusha kisiasa - teta na Rais au jiuzulu

Sijaona ubaya wa kuruhusu bureau de change, tatizo lenu mwendazake aliwalisha sumu sana kwamba burea de change ni mbaya
Mwendazake alikuwa na hulka fulani hivi za kishamba na kimaskini. Watu wa hivyo mara zote wanakuwa na utajiri wa choyo, fitina, chuki, makasiriko, wivu, visasi na hasira dhidi ya yeyote aliyetumia vizuri akili yake.
Bureau de change kama zilivyo shughuli zingine za kiuchumi zinatakiwa zielekezwe kwenye mkondo rasmi wa kisheria na si makasiriko au amri za mtu mmoja!
 
Yap ndo mana kuna regulator.. ni ushamba tu wa baadhi ya watu kudhani bureau ni mbaya
 
Huyu madilu anajibainisha kama mchumi ila uwaziri wa fedha utamuaibisha. Huko bureau de change sijui kazifanya nini. Jpm alizitight kwenye mabenki tu na sehemu chache..tena inafaa ziwe za mabenki tu. Madilu akilikoroga hapo itabidi alinywe tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…