Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Uko vizuri upstair. Umetengeneza tatizo utakalolitatua 2024/2025.
Kulipa kodi ya kichwa ni tatizo ulilolitengeneza kwa manufaa ya CCM.
Tatizo hili utaliondoa bajeti ya 2024/2025 kuwa limekuwa kero kwa watz hivyo unaiondoa kodi watu wapate unafuu.
Wananchi watafurahi kuwa Serikali inawajali. Watakupa kura zote Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025.
Unatumia ujinga wetu kwa manufaa yako. Mungu anakuona.
Ondoa kodi hii mara moja.
Kusanya kodi halali kwenye mabasi yote ya masafa marefu ambayo mengi mnayamiliki ninyi. Lazimisha mabasi yote ya masafa marefu mkoa to mkoa wawe wanatoa risiti za efd mashine.
1.8% ni fedha nyingi kuliko kodi ya kichwa.
Mf: Mwanza to Dar
50000 x0.018= 900 kwa siti moja. Gari la siti 40 ni
40x900= 36000 elfu thelathini na sita kwa safari moja.
Kuna magari mangapi?
Dhuluma haitakuacha. Wanyonge hawa unataka kuwaumiza.
Nakujua u msikivu utasikia Dr.