Dkt. Mwigulu: Ndani ya wiki moja tutachukua hatua kushusha bei ya Saruji

Viwanda vingi kwa sasa vipo kwenye Shut down na vichache vinaishiwa Clinker, unashusha vipi bei ya cement wakati hata cement yenyewe inayozaliswa kwa sasa ni kidogo sana na haipatikani madukani?
 
"Mzaha siyo mzaha"? - HK Nje ya Box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…