Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Anatengeneza per diem, mshahara hauguswi mwaka mzima.๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ, ๐ ๐๐๐ช๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฅ๐จ๐ ๐
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, na Mwenza wake Mama Neema Mwigulu, leo Oktoba 14, 2026 wamehani msiba wa Mama Fatma Karume, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mbweni Zanzibar.
mwewe anapaa anganiHuyo majenereta si alikua swax jana?
Kuhani kaenda saa ngapi?
๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ, ๐ ๐๐๐ช๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฅ๐จ๐ ๐
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, na Mwenza wake Mama Neema Mwigulu, leo Oktoba 14, 2026 wamehani msiba wa Mama Fatma Karume, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mbweni Zanzibar.
Ndo asubuhi yote hata wenyewe hawajapika chai..!!mwewe anapaa angani
๐๐๐๐๐Asipewe kitanda ili ale, anaweza kukoroma mwaka mzima
HahahahahahaaNdo asubuhi yote hata wenyewe hawajapika chai..!!
Haha mwendo wa mwewe tu ๐Huyo majenereta si alikua swax jana?
Kuhani kaenda saa ngapi?
Wenye uwezo wa kusoma lugha ya mwili wanauona uso uliojaa mawazo ๐ณ !Last goodbyes
Mbona hajapiga MAGOTI tena kama kawaida yake?๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ, ๐ ๐๐๐ช๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ ๐ช๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐๐๐ง๐ ๐ ๐๐๐ฅ๐จ๐ ๐
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, na Mwenza wake Mama Neema Mwigulu, leo Oktoba 14, 2026 wamehani msiba wa Mama Fatma Karume, nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Mbweni Zanzibar.
... pigs will fly one of these days! ๐Last goodbyes
Kabla sijasoma huu ujumbe, mawazo ya namna hii yalinijia ghafla. Hata yule nae alianza hivi hivi, ziara zisizoisha.Last goodbyes
Kwani ana safiri kwa Basi kama wengine kiasi cha wewe kushangazwa?Huyo majenereta si alikua swax jana?
Kuhani kaenda saa ngapi?
Kwani kuna tatizo akisafiri kwa bus?Kwani ana safiri kwa Basi kama wengine kiasi cha wewe kushangazwa?