Ni very calm manHuyu jamaa huwa ni kiongozi mzuri sana . Hana majivuno ,mbwembwe na ni msikivu anaeamua jambo ( mtatuzi.)
Ujinga mtupuMgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi akilisha njiwa katika eneo la Darajani, mara baada ya kumaliza ziara yake ya kuzungumza na wafanyabiashara na kunadi sera za maendeleo kwa Zanzibar yenye amani na umoja.
Huyu jamaa alifaa sana kuwa raisi wa Tanganyika.
Ingeondoa dhana ya wakristo hawamtaki kiongozi muislam.
Uraisi (uongozi) wenyewe ana uweza sawa sawa.