Pre GE2025 Dkt. Mwinyi ashiriki Kamati Kuu ya CCM

Pre GE2025 Dkt. Mwinyi ashiriki Kamati Kuu ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
DKT. MWINYI ASHIRIKI KAMATI KUU YA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Juni, 2024.

IMG-20240629-WA0042.jpg
IMG-20240629-WA0041.jpg
 
Back
Top Bottom