Pre GE2025 Dkt. Nchimbi achangisha Tsh. Bilioni 1.7 ujenzi Ofisi ya CCM mkoa wa Singida

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Jumla ya kiasi cha fedha takriban shilingi bilioni 1.7 zilipatikana. Hafla hiyo iliyowahusisha viongozi, wanachama, wafuasi wa CCM na wananchi wa kada mbalimbali, ilifanyika Ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo, jijini Dodoma, tarehe 9 Februari 2025.

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee!

Ina maana kwamba ndani ya Mkoa huo wa Singida hakuna kabisa tatizo ambalo ni serious zaidi ambalo pesa hizo zilizochangwa zingeenda kutatua tatizo hilo?
 
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Jumla ya kiasi cha fedha takriban shilingi bilioni 1.7 zilipatikana. Hafla hiyo iliyowahusisha viongozi, wanachama, wafuasi wa CCM na wananchi wa kada mbalimbali, ilifanyika Ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo, jijini Dodoma, tarehe 9 Februari 2025.
 

Attachments

  • publer-1739193582971.jpg
    42.3 KB · Views: 3
  • publer-1739193584006.jpg
    104.8 KB · Views: 4
  • publer-1739193581927.jpg
    108.8 KB · Views: 4
  • publer-1739193590726.jpg
    96.9 KB · Views: 4
  • publer-1739193591454.jpg
    125.6 KB · Views: 4
  • publer-1739193589639.jpg
    78.7 KB · Views: 3
  • publer-1739193592272.jpg
    115.3 KB · Views: 4
  • publer-1739193588971.jpg
    79.6 KB · Views: 4
  • publer-1739193588245.jpg
    73.1 KB · Views: 3
  • publer-1739193584796.jpg
    66.6 KB · Views: 3
  • publer-1739193585930.jpg
    79.6 KB · Views: 3
  • publer-1739193587091.jpg
    60.7 KB · Views: 3
Mafungu ya serikali nyuma ya pazia
Kujipendekeza ili akikalia kiti amkumbuke mchangiaji

Povu ruksa
 
Hilo jengo la ccm Singida akina MO aliwadanganya wanachama wa Singida kuwa akichaguliwa atalijenga ila amemaliza ubunge wake ata tofali hakulitoa.
 
Wafanyabiashara watakuwa wametishiwa wakalazimishwa kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…