Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, tarehe 27 Novemba, 2024.
PIA SOMA
- LGE2024 - Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura