Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Atanguruma nini labda ataeleza faida za kununua umeme Ethiopia huku bwawa la Nyerere likizalisha umeme wa ziada.๐๐๐ง. ๐ก๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐ก๐ญ๐ ๐๐จ๐จ๐ก๐๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ ๐ ๐๐ข๐๐ก๐ ๐ฅ๐จ๐ฉ๐จ๐ ๐
๐๐ ๐ฏ๐๐๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ ๐๐ ๐๐ฏ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐๐ ๐ช 5
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.
Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.
#๐พ๐พ๐๐๐ข๐๐ง๐
#๐๐๐ฏ๐๐๐๐๐ฉ๐ช๐๐ช๐ฃ๐๐จ๐ค๐ฃ๐๐๐๐๐๐ก๐๐๐๐ข๐ค๐๐
Kwani kakwambia wapi kuwa anauza sura kama wewe Uliyekosa kazi na shughuli za kufanya.Hana Mvuto, Haiba Imepotea
Awahi mapema mana Operation No reform No Election inaanza tarehe tano asije kulaumu kukosa watu๐๐๐ง. ๐ก๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐ก๐ญ๐ ๐๐จ๐จ๐ก๐๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ ๐ ๐๐ข๐๐ก๐ ๐ฅ๐จ๐ฉ๐จ๐ ๐
๐๐ ๐ฏ๐๐๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ ๐๐ ๐๐ฏ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐๐ ๐ช 5
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.
Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.
#๐พ๐พ๐๐๐ข๐๐ง๐
#๐๐๐ฏ๐๐๐๐๐ฉ๐ช๐๐ช๐ฃ๐๐จ๐ค๐ฃ๐๐๐๐๐๐ก๐๐๐๐ข๐ค๐๐
Tundu Lissu ๐ซกAungurumaye ni Simba pekee,
Kuku huwa anawika!
Nadhani Simba tayari unamjua.
Kila la kheri our very able and vibrant CCM SG ๐ฅ๐ช๐๐๐๐ง. ๐ก๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐๐ก๐ญ๐ ๐๐จ๐จ๐ก๐๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ ๐ ๐๐ข๐๐ก๐ ๐ฅ๐จ๐ฉ๐จ๐ ๐
๐๐ ๐ฏ๐๐๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐ ๐๐ ๐๐ฏ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐๐ ๐ช 5
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.
Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.
#๐พ๐พ๐๐๐ข๐๐ง๐
#๐๐๐ฏ๐๐๐๐๐ฉ๐ช๐๐ช๐ฃ๐๐จ๐ค๐ฃ๐๐๐๐๐๐ก๐๐๐๐ข๐ค๐๐
Mmesikia ,no reform no election inaelekea kusini mmeona mjaribishe huyu rafiki yake na lowasa huyuKila la kheri our very able and vibrant CCM SG ๐ฅ๐ช๐
hiyo dhana potofu ya kitapeli si imekataliwa na kupuuzwa na wanachadema wenyewe gentleman?Mmesikia ,no reform no election inaelekea kusini mmeona mjaribishe huyu rafiki yake na lowasa huyu
Hana Mvuto, Haiba Imepotea