Dkt. Nchimbi azungumza na Thabo Mbeki

Dkt. Nchimbi azungumza na Thabo Mbeki

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Shafiishuna Nujoma, tarehe 1 Machi 2025.

20250303_192659.jpg
 
Attachments

  • 20250303_192701.jpg
    20250303_192701.jpg
    107.4 KB · Views: 1
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mzee Thabo Mbeki akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi walipokutana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek, nchini Namibia, mara baada ya mazishi ya Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Shafiishuna Nujoma, tarehe 1 Machi 2025.
Katibu Binafsi tangu asubuhi uko bize na Dr Nchimbi Nyuzi zako watu hawazitaki
 
El Commandante Thabo Mbeki mwenye AKILI NYINGI na maadili mengi amekutana na kamarada Emmanuel Nchimbi mwenye AKILI NYINGI na maadili mengi....

Nchimbi is a humble person na habwati hovyohovyo na kuwa na kiburi kama yule mwenyekiti aliyemshinda mh.Mbowe.......
 
Back
Top Bottom