Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake.
Soma: Dkt. Emmanuel Nchimbi: CCM tunafanya siasa za ustaarabu na maendeleo
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma wakati wa ufunguzi kikao cha kamati ya utekelezaji wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi (CCM).
Amesema CCM inaendelea kujipanga kwaajili ya kufanya vizuri kwenye uchaguzi kwa kunadi sera zake kwani kuna mambo mengi mazuri yaliyofanyika ambayo wananchi wanapaswa kuelezwa.