Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Hakuna mgombea ubunge kupita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waanze na Gambo ana kaz ya kuhonga mitungi ya gesi
 
Anatupanga? Tushiriki uchaguzi ILI IWEJE?
 
Anatafuta pa kuanzia. Wao wamempitisha Samia bila kupingwa, halafu wanataka kuleta udikteta kwenye nafasi za ubunge.
Hilo lingeanzia huko juu.
 
🤣 🤣 🤣 🔊
 
⚖️ 🎯
 
Ni tangazo la Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi kwamba

Ni marufuku mwanaccm Kufanya Sherehe za Birthday au anniversary ya ndoa au Kumbukumbu ya Vifo au Kipa Imara au Jando na Unyago na kisha kuwaalika Wanaccm na kuwalipa Posho

Ni marufuku mwanaccm kuhudhuria Sherehe binafsi ya mwanaccm na kuvaa sare ya Chama Ili aliyekualika akulipe chochote

Mambo yote yanarekodiwa na Wakati wa Kura za maoni Kila Kitu kitawekwa Wazi na Utakatwa Mchana Kweupe kila Mtu akishuhudia

Source: TOP Tv

Nawasilisha 🐼

ChoiceVariable, Lucas Mwashambwa
 
Nchimbi ni katibu mkuu mwenye meno kuwahi kutokea maana akiwa katibu mkuu wakati huohuo ni makamu wa Rais mtarajiwa
 
Mwambie marufuku kuchukua wasanii kuwapeleka dodoma,kuwapa mikopo,kuwapeleka japani na kuwa dhamini harusi na magonjwa kama walivyo fanya kwa hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…