Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni Bahati Mbaya kwamba hukufika kwenye Mdahalo huo kwa sababu unazozijua Mwenyewe.
Niliamini kwamba kwa vile Wakati wa Mradi huo wewe ulikuwa kiongozi wa Uvccm pamoja na Sukwa Said Sukwa wa Pemba, basi bila shaka Ungetuambia sababu hasa ya Mradi ule kufa hasa ikizingatiwa kwamba ulisimamiwa na UVCCM.
Kingine ambacho ningekuuliza ni kuhusu hatua ambazo alichukuliwa RPC wa Iringa Michael Kamuhanda, ambaye alishiriki kikamilifu katika Kumuua Mwangosi, Wakati ule wewe ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye ulikuwa mkubwa wa Mapolisi wote.
Hata hivyo sijakata Tamaa, natafuta namna ingine ya kukifikishia Ujumbe wangu.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!