PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Viongozi jibuni changamoto za wananchi, CCM ni yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka watendaji wa chama hicho kuhakikisha wanatekeleza mambo yanayojibu changamoto za wananchi, akisisitiza kuwa CCM si chama cha viongozi bali ni cha wanachama wa kawaida.

Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo akiwa wilayani Mbinga, alikosimama kusalimiana na wananchi waliokusanyika kwa wingi kumpokea wakati akiwa safarini kuelekea Mbamba Bay, wilayani Nyasa.

Amesema kuwa tangu nchi ilipopata uhuru, ajenda za CCM zimekuwa zikilenga kutatua changamoto za wananchi, jambo ambalo limechangia maendeleo yanayoonekana nchini hadi sasa.

Aidha, Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa chama hicho kitaendelea kupeleka maendeleo kwa wananchi huku kikilinda amani na utulivu wa Taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Hao watendaji wenyewe hawajiwezi kiufahamu.Sasa watawakwamuaje wananchi wenye uhitaji wa ukombozi?
 
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Pumzi imekataa........okoeni jahazi huko😅😅😅
 
Wananchi leo na wao wamezipiga buku tano tano za Mikopo ya mabeberu. Si haba
 
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…