Dkt. Ndugulile: Tutaweka mazingira wezeshi ya biashara za mtandaoni

Dkt. Ndugulile: Tutaweka mazingira wezeshi ya biashara za mtandaoni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Katika Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Fausine Ndugulile amesema watahakikisha maeneo yote yanakuwa yanatambulika kwa PostCodes

Pia itawezesha suala la Posta Kiganjani ili mtu asiwe anaenda posta kufuata barua bali zimfuate mahali alipo. Pia itaondoa adha ya watu kuwa wanaelekezana kwa majina ya watu kama ‘Kunja kushoto kwa fundi cherehani mbela ya Haji Tumbo’

Amesema wanashirikiana na Wizara ya Ardhi na TAMISEMI na wameshaweka mkakati katika mwaka ujao wa fedha, nyumba katika mikoa yote iwe na namba na postcodes
 
Back
Top Bottom