Siyo kwenye Mali asili tu tunataka kila sehemu kuwepo na usawa hawa polisi wanatumia madaraka yao vibaya sana, tunamtaka IGP aje mpaka vilaya ya tarime hapa nyamongo aone jinsi polisi wake wanavyofanya matukio na kuwanyanyasa raia wanaozunguka mgodi kisa tu madili ya mawe ya dhahabu