Dkt. Nshala: Amri ya Tume ya jaji Chande kuchunguza vifo ni batili, uchunguzi urudiwe

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akichambua ripoti ya Kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi ameeleza kuwa Tume hiyo haikuwa na mamlaka kisheria kutoa amri ya kuchunguza vifo, bali ilitakiwa kufanya kwa amri ya mahakama ya uchunguzi wa vifo “Coroner’s Court”

Pia soma PostGE2025 - Madeleka: Tume ya Jaji Chande haikuwa na mamlaka kisheria kumwamrisha pathologist kuchunguza miili ya waliokufa kwa mashaka
 
hili ni miongoni mwa mawakili malofa sana Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…