Dkt. Nyambura Moremi anatosha kuchukua kiti WHO

Dkt. Nyambura Moremi anatosha kuchukua kiti WHO

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Dr Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu.
Ambae Magu alimkataa?
 
Je ana sifa ya kuwa mwanasia na au policy maker katika level ya siasa? hicho ndicho kitu kilicho mbeba Dr.Faustine. kama ana uzoefu wa kiasiasa, atafaa.
 
Dr Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu...
Umelowaaaaa ile sioo VITI MAALUM
UKIFA WANACHUKUA ALIEFWATA
 
Back
Top Bottom