Dkt. Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu.
Dr Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu.
Je ana sifa ya kuwa mwanasia na au policy maker katika level ya siasa? hicho ndicho kitu kilicho mbeba Dr.Faustine. kama ana uzoefu wa kiasiasa, atafaa.
Dr Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu...