Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameivunja Bodi hiyo na amemteua Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Simuli.

Dkt. Nyansaho ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania.
Uteuzi huu unaanza mara moja.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu.​

 
aategua na kuteua sana lkn matkeo ni yale yale....failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…