Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Huku ndio panamfaaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.
Dkt. Mpango katika maadhimisho ya Misaa hiyo ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Makamu wa Rais Dkt. Mpango ambaye anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Marais na Makamu Rais 123 kutoka sehemu mbalimbali Duniani wanaoshiriki katika mazishi hayo ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.View attachment 3316348View attachment 3316349View attachment 3316352
Huyu ni mmoja wa wazalendo wachache sana waliomo kwenye Serikali dhalimu ya Malikia wa Unafiki.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.
Dkt. Mpango katika maadhimisho ya Misaa hiyo ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Makamu wa Rais Dkt. Mpango ambaye anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Marais na Makamu Rais 123 kutoka sehemu mbalimbali Duniani wanaoshiriki katika mazishi hayo ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.View attachment 3316348View attachment 3316349View attachment 3316352
Hiyo haina tofauti na milion 5 kwa goli. Afrika kodi zetu zinatumiwa vibaya sanaHuku ndio panamfaa
akitoka samia anaingia nchimbi .Eti samia amemtoa mpango umakamu wa Rais
Hii nchi inatia hasira
Mpango kwa miakili yake tu samia angekuwa anamsikiliza tusingekwama km tulivyokwama sasa
Huku mnaua halafu mnaenda kufanya najis Vatican, yaani hii ni kufuru!!!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.