Rais, VP, PM, Jaji Mkuu, Spika na Naibu wake wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa... hivi VP ana kinga ya kutoshtakiwa?
Huu ujinga ndio tunauona umuhimu wa Katiba Mpya, kwani wao si binadamu?Rais, VP, PM, Jaji Mkuu, Spika na Naibu wake wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa
Huja msikia maza amesema Rais hakosei? sasa utamshitaki malaika?Huu ujinga ndio tunauona umuhimu wa Katiba Mpya, kwani wao si binadamu?
... hatari sana hii kwa ustawi wa taifa! Rais kutoshtakiwa ni suala la kikatiba; ni haki ya kikatiba japo kwa katiba mbovu iliyopo. Na kwa kumbukumbu zangu, ukiacha Rais, hao wengine hawakuwa na kinga hiyo. Ni lini Katiba ya nchi ilibadilishwa wakaingizwa kundi kubwa hivyo?Rais, VP, PM, Jaji Mkuu, Spika na Naibu wake wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa
Mwaka jana, mambo ya Ndugai hayo... hatari sana hii kwa ustawi wa taifa! Rais kutoshtakiwa ni suala la kikatiba; ni haki ya kikatiba japo kwa katiba mbovu iliyopo. Na kwa kumbukumbu zangu, ukiacha Rais, hao wengine hawakuwa na kinga hiyo. Ni lini Katiba ya nchi ilibadilishwa wakaingizwa kundi kubwa hivyo?