Dkt. Philip Mpango, Mungu ni mtenda miujiza, anaweza kuponya na ana nguvu. Maombi ni silaha inayopaswa kuheshimiwa

Unamuomba nani huyo wakunionesha? Hakuna wa kukuombea upone maradhi au upate kazi Wala utajiri hayupo, huyo anaekuombea anakua anakutapeli mchana kweupe
Maelezo yako yananionyesha umri wako hujawahi kupitia matatizo na inawezekana familia yenu ni waganga na wachawi
 
Kuna uwezekano wanahusika na Mohamed Ali Kibao.
 
Sasa mgonjwa anamapepo unampeleka hospitali ?
Hakuna mapepo, kitu chochote ambacho huwezi kukipima wala kukiona jua hakipo, verification ipo kwenye vipimo, wanakua wamepimwa wapi mkayaona hayo mapepo
 
Hakuna mapepo, kitu chochote ambacho huwezi kukipima wala kukiona jua hakipo, verification ipo kwenye vipimo, wanakua wamepimwa wapi mkayaona hayo mapepo
Hicho kipimo kina akili kukupita wewe ? Kwa hiyo unataka kusema hata uchawi haupo? Unasoma vitabu gani maana hata hiyo Quran yenu inakili haya mambo wewe ni aina gani ya binadamu
 
Hicho kipimo kina akili kukupita wewe ? Kwa hiyo unataka kusema hata uchawi haupo? Unasoma vitabu gani maana hata hiyo Quran yenu inakili haya mambo wewe ni aina gani ya binadamu
Huo uchawi umeuthibitisha wapi au umesikia story tu, dunia ina propaganda hii nanyi mnapelekwa kama mazezeta
 
Huo uchawi umeuthibitisha wapi au umesikia story tu, dunia ina propaganda hii nanyi mnapelekwa kama mazezeta
Wewe kwakweli utakuwa ni binadamu wa hovyo sana
 
Aaache kuingilia Imani za Watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…