Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza vizuri.
Dkt. Philip Mpango Mpango amesema hayo baada ya kushiriki zoezi la uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kitongoji cha Kihanga kijiji cha Kasumo wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma jana Oktoba 12, 2024