unambiwa jamaa wa chadema wameshindwa hata kutoa huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wao imenishangaza sana kwa kweli.
Wakala moja ananambia wamebidi waingie mitini, katibu wao kawambia wale chakula kisichozidi elfu tatu kwa pesa yao kisha watarejeshewa kwani pesa hajazipokea hadi kufikia sasa ni kweli chadema haikujua kuna chaguzi kila bada ya miaka mitano haya ni mambo ya ovyo kabisa