Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Lyamkena, Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe leo Novemba 25, 2024.
Soma Pia:
Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani humo katika Wilaya ya Makambako, Ludewa, Njombe na Wanging'ombe za ujenzi wa barabara , shule , vituo vya afya n.k.
Akizungumzia Sekta ya Maliasili na Utalii Chana amesema Rais Samia amekuwa kinara katika kutangaza vivutio vya Tanzania hasa kupitia filamu ya Tanzania The Royal Tour.

- LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Polisi Makambako: Tutaimarisha ulinzi kipindi chote cha kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa