Dkt. Remmy alifanya uchochezi?

Dkt. Remmy alifanya uchochezi?

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Haya ndugu zangu hapo ni Mwanamziki nguli akiimba wimbo trna wakati Nyerere mwenyewe akiwa hai. Waliokubali kukosolewa waliongoza vema.

Nikisema vema siyo kwa kunyamaza nyamaza kwenye masuala ya msingi. Waliongoza bila kufanya mauzo kwa nchi yao.

Nyerere hakuwahi kuuza sehemu yoyote ya ardhi ya Tanganyika wala Tanzania Mzee Mwinyi anajutia kuiuza Loliondo wnegine sasa hivi wako mnadani kwa nchi yeti sasa hivi hatutaki rudisha BANDARI YETU

Huyu kaimba kwakuwa altona hayo.

 
Viongozi wenye akili hukubali kukosolewa, bali wapumbavu hutumia ubabe na vitisho na kupenda kusifiwa kwa sifa wasizokuwanazo
 
Back
Top Bottom