Dkt.Rugemeleza Nshala kaipata hii nafasi ya mwanasheria wa CHADEMA?

Dkt.Rugemeleza Nshala kaipata hii nafasi ya mwanasheria wa CHADEMA?

Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA?

Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda.

Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA.

Au urafiki wa Lissu ndio kumemfanya kupata nafasi hii?
kapewa nafasi hiyo kama zawadi kwa rafiki, ndugu, jamaa na wanafamilia wengine wa huyo tapeli wa kisiasa ndani ya chadema walivyozawadiwa nafasi mballimbali za uongozi ndani ya chadema bila kuzingati sifa na vigezo vya kitaluma, sheria au katiba ya chadema 🐒
 
Lini alishuriki harakati za chadema?
Sifahamu lini alishiriki, lakini aliyeshiriki harakati jana pia anaweza kuwa msaliti leo. Huu ni mwanzo alionao, tusiijadili kesho, haijafika, ikifika tutajadili. " Tukikuta daraja tutalivuka, tunajadili kulivuka, vipi tusipolikuta, tukakuta bahari?!
 
Dkt.Rugemeleza Nshala ana uchungu na CHADEMA?

Maana tangu kufatilia siasa za upinzani huyu sijawahi kumuona kuvaa gwanda.

Leo ndio mwanasheria mkuu wa CHADEMA.

Au urafiki wa Lissu ndio kumemfanya kupata nafasi hii?
we una ujinga wa ng'ombe kufanya kyuma yake ngazi ya mafi ulishawai kumuona julius nyerere akivaa mbogamboga za fisiem
 
Back
Top Bottom